Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI

GCLA Logo
ISO 9001:2015 Certified

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

  Sampuli kwa ajili ya uchunguzi huweza kuletwa na wamiliki wa viwanda, wajasiriamali wakubwa na wadogo, mtu binafsi,Taaisisi za Serikali,mashirika binafsi na asasi zisizo za kiserikali.
  During registration your required to attach two documents which are Tax Payer Identification Number (TIN) and Certificate of Incorporation from Tanzania Revenue Authority and Business Registration and Licensing Agency (BRELA) respectively.
  Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) ina wajibu wa kulinda afya ya jamii kwa kuhakikisha ubora na usalama wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi. Shirika la Viwango Tanzania (TBS) majukumu yake ni kusimamia na kulinda ubora wa bidhaa na chakula katika sekta ya viwanda na biashara Mam...
  Ni sampuli za vyakula, dawa na malighafi za dawa, dawa asili, viungo vya chakula, vipodozi, maji taka, udongo, detergents, sediments,kemikali na mazao yake.
  Ili kuweza kupata huduma za Kituo cha kudhibiti Sumu nchini  unatakiwa kupiga simu kwa namba za simu kwa namba: Toll Free 0800112031
  Ghrama za uchunguzi ni  shilingi 100,000/= kwa sampuli moja yaani mtu mmoja. Hivyo kwa wahusika watatu (yaani baba, mama ma mtoto) ni shilingi laki tatu 300,000/=
  Sampuli kwa ajili ya uchunguzi huweza kuletwa na wamiliki wa viwanda, wajasiriamali wakubwa na wadogo, mtu binafsi,Taaisisi za Serikali,mashirika binafsi na asasi zisizo za kiserikali.
  Mwombaji anapaswa apate barua ya maombi kutoka Mamlaka zinazotambulika kisheria ambazo ni: Mahakama kwenye masuala ya jinai na kijamii Mawakili waliosajiliwa na wanatambulika kisheria Ustawi wa jamii Polisi mwenye cheo cha kuanzia mkaguzi Mkuu wa Wilaya kwenye majanga ya ki...
  Huduma za uchunguzi wa vinasaba hutolewa kwa mujibu wa Sheria ya Vinasaba vya Binadamu ya mwaka 2009.Taratibu zifuatazo hufuatwa ili kuweza kupata huduma za uchunguzi;- Mteja anayehitaji kupatiwa huduma za uchunguzi wa vinasaba anawakilishwa na taasisi zilizotajwa kwenye sheria ili...
  Ni kituo cha kudhibiti matukio ya sumu nchini, kilichopo chini ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, kinachofanya kazi ya kudhibiti matukio ya sumu nchini kwa kushirikiana na taasisi za tiba ili kusaidia watu wanaoathirika na sumu.