Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI

GCLA Logo
ISO 9001:2015 Certified

Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi

Kitengo hiki kinafanya kazi zifuatazo:

  • Kununua, kufuatilia, kusimamia bidhaa na huduma ili kuwezesha uendeshaji wa shughuli za Mamlaka;
  • Kuratibu mchakato wa kupata bidhaa na huduma kwa ajili ya shughuli za uendeshaji wa Mamlaka ikiwa ni pamoja na vifaa na mitambo ya maabara, vitendanishi, vifaa vya ofisi na huduma;
  • Kuandaa, kupitia na ketekeleza Mpango wa Ununuzi wa Mwaka wa Mamlaka.
  • Kutunza na kuhuisha daftari la mali na vifaa vya Mamlaka;
  • Kuandaa ripoti ya mara kwa mara pamoja na Notisi ya Jumla ya Ununuzi na Notisi ya tuzo ya Zabuni;
  • Kufanya ununuzi kwa kuzingatia Sera, Sheria, Kanuni, Miongozo na Taratibu.
  • Kusimamia utekelezaji wa Mikataba ya Ununuzi kwa kuzingatia matakwa ya kisheria;
  • Kuandaa, kutekeleza na kuhuisha Taaratibu za Mipango ya Ununuzi; na
  • Kusimamia utekelezaji wa Mikataba ya Ununuzi