Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI

GCLA Logo
ISO 9001:2015 Certified

Yapi ni mahitaji ya msingi ukitaka kujisajili kwenye Mfumo wa Usimamizi wa Kemikali

Nyaraka zinazotakiwa kuambatishwa kwenye mfumo ni: -

  • Namba ya utambulisho ya mlipa kodi (TIN)
  • Cheti cha usajili wa biashara
  • Leseni ya Biashara kutoka (BRELA)