Mtaalam wa Mazingira na Kemikali, Gilbert Glidi (aliyesimama kulia) kutoka kiwanda cha Chilambo General Trade Company kinachochakata kemikali taka na za kielektroniki, akizungumza na wadau wa kemikali baada ya kufanya ziara katika kiwanda hicho Julai 25, 2024.
Washiriki wa mafunzo ya usimamizi, uhifadhi na usafirishaji wa kemikali wakifuatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa na wataalam kutoka Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali.
Mkurugenzi wa Huduma za Sayansi Jinai, David Elias (aliyesimama), akizungumza na washiriki wa mafunzo ya usimamizi, uhifadhi na usafirishaji wa kemikali wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo Julai 24, 2024.
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Dkt. Mohammed Mang’una akizungumza wakati akifungua Mafunzo kwa Wasimamizi, Wahifadhi na Wasafirishaji wa Kemikali yaliyoandaliwa na Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kupitia Ofisi ya Kanda ya Mashariki.
Tuzo iliyokabidhiwa Mamlaka kutokana na utoaji huduma bora katika Maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya yaliyofanyika Mwanza.
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Aretas Lyimo (katikati), akiwa pamoja na viongozi kutoka taasisi mbalimbali za Serikali baada ya kuwakabidhi tuzo za shukrani kwa kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Aretas Lyimo (kushoto), akimkabidhi tuzo Mkurugenzi wa Huduma za Sayansi Jinai, David Elias (kulia)
Mkurugenzi wa Huduma za Sayansi Jinai, David Elias (kulia) akiwa katika hafla ya ugawaji wa tuzo kwa taasisi mbalimbali zilizofanya vizuri katika Maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya.
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Aratas Lyimo akizungumza wakati wa hafla ya ugawaji wa tuzo kwa taasisi mbalimbali zilizofanya vizuri katika Maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Kupiga Vita Matumizi ya Dawa za Kulevya
Washiriki wa kikao cha Mashahidi Wataalam wakimsikiliza Mkuu wa Ofisi ya Mashtaka, Mkoa wa Dar es Salaam (hayupo pichani) akitoa ufafanuzi wa maswali yaliyoulizwa na washiriki wa kikao hicho.