Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi la Mamlaka, Dkt. Fidelice Mafumiko (aliyesimama), akizungumza wakati wa kuhitimisha kikao cha pili cha Baraza la Nane la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kilichofanyika katika ukumbi wa Cate Hotels mkoani Morogoro Oktoba 24, 2025.
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamalaka, wakifuatilia ajenda zilizokuwa zinawasilishwa katika siku ya pili ya kikao cha pili cha Baraza la Nane la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali.
Mjumbe wa Baraza, Evaclotida Kapinga, akiwasilisha taarifa ya utekelezaji kazi ya Mwaka wa Fedha 2024/2025 kwenye kikao cha pili cha Baraza la Nane la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kilichofanyika katika ukumbi wa Cate Hotels mkoani Morogoro Oktoba 24, 2025.
Katibu Msaidizi wa Baraza, Rotani Kibaza, akichangia ajenda juu ya mapato yaliyozalishwa na yaliyokusanywa kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2024/2025.
Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi, kutoka Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Hussen Mtenda , akichangia hoja katika kikao cha pili cha Baraza la Nane la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali.
Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi, kutoka Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Rukia Hassan, akichangia hoja katika kikao cha pili cha Baraza la Nane la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali.
Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi la Mamlaka, Dkt. Fidelice Mafumiko (aliyesimama) akizungumza katika siku ya kwanza ya kikao cha pili cha Baraza la Nane la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kilichofanyika katika ukumbi wa Cate Hotels, Morogoro Oktoba 23, 2025.
Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi la Mamlaka, Dkt. Fidelice Mafumiko (katikati) akiwa pamoja na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka katika siku ya kwanza ya kikao cha pili cha Baraza la Nane la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kilichofanyika katika ukumbi wa Cate Hotels, Morogoro Oktoba 23, 2025.
Mkurugenzi wa Huduma za Taasisi, Evaclotida Kapinga, akiwasilisha ajenda kuhusu Mwongozo wa Sera ya Mafunzo ya Mamlaka ya Mwaka 2024 - 2029 katika siku ya kwanza ya kikao cha pili cha Baraza la Nane la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kilichofanyika katika ukumbi wa Cate Hotels, Morogoro Oktoba 23, 2025.
Baadhi ya Wajumbe, wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamalaka, wakifuatilia ajenda zilizokuwa zinawasilishwa katika siku ya kwanza ya kikao cha Pili cha Baraza la Nane la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali.