Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI

GCLA Logo
ISO 9001:2015 Certified

Huduma zipi hutolewa na Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali?

Zifuatazo ni huduma zinazotolewa na Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali: -

  1. Uchunguzi wa kimabaara (Chakula na Dawa, Maikrobaiolojia, Vinasaba, Sayansi jinai kemia na Toksikolojia)
  2. Usimamizi na udhibiti wa kemikali za majumbani na viwandani
  3. Udhibiti wa huduma za Vinasaba vya Binadamu
  4. dhibiti wa maabara za kemikali, sayansi jinai na vinasaba vya binadamu