Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi la Mamlaka, Dkt. Fidelice Mafumiko (aliyesimama) akizungumza katika siku ya kwanza ya kikao cha pili cha Baraza la Nane la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kilichofanyika katika ukumbi wa Cate Hotels, Morogoro Oktoba 23, 2025.
Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi la Mamlaka, Dkt. Fidelice Mafumiko (katikati) akiwa pamoja na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka katika siku ya kwanza ya kikao cha pili cha Baraza la Nane la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kilichofanyika katika ukumbi wa Cate Hotels, Morogoro Oktoba 23, 2025.
Mkurugenzi wa Huduma za Taasisi, Evaclotida Kapinga, akiwasilisha ajenda kuhusu Mwongozo wa Sera ya Mafunzo ya Mamlaka ya Mwaka 2024 - 2029 katika siku ya kwanza ya kikao cha pili cha Baraza la Nane la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kilichofanyika katika ukumbi wa Cate Hotels, Morogoro Oktoba 23, 2025.
Baadhi ya Wajumbe, wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamalaka, wakifuatilia ajenda zilizokuwa zinawasilishwa katika siku ya kwanza ya kikao cha Pili cha Baraza la Nane la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali.
Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi upande wa Menejimenti, Benny Mallya, akijibu hoja za kamati tendaji katika siku ya kwanza ya kikao cha pili cha Baraza la Nane la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kilichofanyika katika ukumbi wa Cate Hotels, Morogoro Oktoba 23, 2025.
Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi kutoka Halmashauri ya TUGHE, Adam Mbugi, akiwasilisha hoja za wafanyakazi (hawapo pichani) katika siku ya kwanza ya kikao cha pili cha Baraza la Nane la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kilichofanyika katika ukumbi wa Cate Hotels, Morogoro Oktoba 23, 2025.
Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoa wa Morogoro, Mbala Shitimbi, akitoa elimu kuhusu uelewa wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote iliyopitishwa mwaka 2023 kwa wajumbe wa Baraza katika siku ya kwanza ya kikao cha pili cha Baraza la Nane la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kilichofanyika katika ukumbi wa Cate Hotels, Morogoro Oktoba 23, 2025.
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko, akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha utekelezaji na tathmini ya Watoa huduma za mitambo na vifaa vya Maabara kuendana na matakwa ya mifumo ya ubora kwa Wakurugenzi, Wataalam wa Mitambo ya Maabara, Wakuu wa Vitengo na Mameneja (Hawapo pichani), katika kikao kilichofanyika katika Ukumbi NIMR, jijini Dar es Salaam, Oktoba 8, 2025.
Mkuu wa Kitengo cha Udhibiti Ubora na Usimamizi wa Vihatarishi, Benny Mallya, akiwasilisha Taarifa ya Usimamizi wa Vifaa kwa Mtazamo wa Ubora katika kikao kazi cha utekelezaji na tathmini ya Watoa huduma za mitambo na vifaa vya Maabara kuendana na matakwa ya mifumo ya ubora kilichofanyika katika Ukumbi wa NIMR jijini Dar es Salaam, Oktoba 8, 2025.
Mtumishi wa Mamlaka, Adamu Mbugi, akiwasilisha Taarifa ya Mitambo ya Maabara katika kikao kazi cha utekelezaji na tathmini ya Watoa huduma za mitambo na vifaa vya Maabara kuendana na matakwa ya mifumo ya ubora kilichofanyika katika Ukumbi wa NIMR jijini Dar es Salaam, Oktoba 8, 2025.